Umuhimu wa Maji.
Maji ni kimiminika ambacho Ni kiini Cha uhai duniani na pia Ni kiini Cha utamaduni wa binadamu.Hakuna mtu anayeweza kuishi bila maji kwa sababu asilimi kubwa ya mwili wa mwanadamu Ni maji.Hata miili ya mimea na wanyama kwa kiasi kikubwa Ni maji.Katika ulimwengu maji yamechukua karibu robo tatu ya eneo lake lote.
Kiasi kikubwa Cha maji duniani Ni maji ya chumvi ambayo hupatikana katika bahari.Maji tamu hupatikana kwa kiasi kidogo.
Maji Yana matumizi mengi hasaa majumbani mwetu na hata katika uchumi wetu.
Upatikanaji wa maji ulikuwawa Jambo muhimu katika historia ya utamaduni wa kibinadamu,tangu mwanzo njia za maji zilikuwa Kati ya njia za kwanza za mawasiliano kwa watu.
Kwa jumla maji Ni moja ya vimiminika ambavyo hutumika Sana katika maisha ya wanadamu Kila siku.kwani,maji hutumika nyumbani na pia katika matumizi ya kiuchumi nikimaanisha viwandani.matumizi hayo ya maji yanaweza kuwa:
(1)Nyumbani:Maji nyumbani huweza kutumika katika kazi nyingi kama vile kuoshea vyombo,kunywa wakati tunapohisi kiu,kuoga au kujiosha mwili,aidha hutumika kusafisha chengo zetu na hata kufulia ngua.
(2)Usafiri: katika sekta ya Usafiri maji yanayotumika Ni vyanzo vikubwa vya maji ya bahari,mito.,maziwa na kadhalika.Watu na bidhaa mbalimbali husafirishwa kupitia maji kwa kutumia vyombo vya majini Kama vile meli,mitumbwi na vyenginevyo.
(3)Uzalishaji wa umeme:Maji hutumika kuzalisha umeme kutokana na maporomoko yake ya kasi ambayo Mara nyingi hutokea kwenye mabwawa makubwa ulimwenguni.
(4)Starehe:Hata hivyo Ni fika ya kwamba wengi wetu hukimbilia kwenye fukwe za bahari kuogelea na kupata burudisho au starehe kupitia maji hasaa wakati wa joto.
(5)Hutumika kwa uvuvi:Vyanzo vya maji Kama vile bahari na maziwa ni sehemu ambavyo samaki au viumbe wa baharini huishi kwa hiyo maji yanatimika katika upatikanaji wa samaki.
(6)Ukulima:Wakulima wengi hutegemea maji Kama kiungo muhimu Cha kukuza mimea yao.Kuna wale ambao hutegemea maji ya mvua na wale ambao hutegemea maji yanayotoka kwenye maziwa na mabwawa kunyunyizia mimea yao.
Kabla sijatia kikomo Ni matumaini yangu kuwa sote tumeona umuhimu wa maji katika aushi yetu,hivyo basi, Ni vyema sote tuwajibike katika kutunza Vyanzo vya maji ili tuweze kufaidika kwazo.

asante kwa mafunzo
ReplyDelete