Umuhimu wa Maji.
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyjMVkWeD-nUcN3tBCcwbTz7ss43GoeQMXdmFSv1o6qsuAVy5DtO2bKsVxgcG-zzQ-cw7rz6kAgYvCleFHLPiNulEbsGbFdnZHI-OFcXoiOFUXHU4JGzv9rw6-FrJH6XxIa2FU4maLPC4/s320/8EC5B1A8-B128-4A35-A367-302A4DC44386.jpeg)
Maji ni kimiminika ambacho Ni kiini Cha uhai duniani na pia Ni kiini Cha utamaduni wa binadamu.Hakuna mtu anayeweza kuishi bila maji kwa sababu asilimi kubwa ya mwili wa mwanadamu Ni maji.Hata miili ya mimea na wanyama kwa kiasi kikubwa Ni maji.Katika ulimwengu maji yamechukua karibu robo tatu ya eneo lake lote. Kiasi kikubwa Cha maji duniani Ni maji ya chumvi ambayo hupatikana katika bahari.Maji tamu hupatikana kwa kiasi kidogo. Maji Yana matumizi mengi hasaa majumbani mwetu na hata katika uchumi wetu. Upatikanaji wa maji ulikuwawa Jambo muhimu katika historia ya utamaduni wa kibinadamu,tangu mwanzo njia za maji zilikuwa Kati ya njia za kwanza za mawasiliano kwa watu. Kwa jumla maji Ni moja ya vimiminika ambavyo hutumika Sana katika maisha ya wanadamu Kila siku.kwani,maji hutumika nyumbani na pia katika matumizi ya kiuchumi nikimaanisha viwandani.matumizi hayo ya maji yanaweza kuwa: (1)Nyumbani:Maji nyumbani huweza kutumika katika kazi nyingi kama vile kuoshea vyombo,ku...